Serikali mpya ya CHADEMA ikichukuwa nchi novemba 2015...
1marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu hasa wenye tuuhuma za kifisadi watakuwa wanaalikwa kwenye sherehe za kitaifa,
2 Wastani wa mshahara wa mawaziri wenu utakuwa Tsh ngapi?
3 Mawaziri wa CHADEMA wataumia magari ya aina gani?je yaliyopo sasa ya serikali ya ccm mtayapeleka wapi?
4 Wastani wa safari za rais nje ya nchi zitakuwa ngapi kwa mwaka?
5 Sector yenu ya kipaumbele ni ipi au itakuwa ipi? naona CCM wana kilimo kwanza.
6 kati ya marais 4 waliotangulia ni yupi aliyewavutia japo kidogo katika sera zake ambapo mnaweza kuchukua mambo mazuri machache na kueendele nayo.