Maswali ya written interview ubalozi wa marekani.

Maswali ya written interview ubalozi wa marekani.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,054
Reaction score
16,507
Wakuu kwema?
Kuna mwenye uzoefu wa maswali ya written interview yanayoulizwa ubalozi wa marekani?
Halafu,hivi hawa jamaa huwa wanalipa sh ngapi kwa mtu mwenye degree?
 
Wakuu kwema?
Kuna mwenye uzoefu wa maswali ya written interview yanayoulizwa ubalozi wa marekani?
Halafu,hivi hawa jamaa huwa wanalipa sh ngapi kwa mtu mwenye degree?

mkuu written yao haina shida kama upo vizuri ktk ngeri na wenyewe hawapimagi professional bali ni earing capacity, vocabulary, english structure na understanding capacity yako kwa kupewa comprehession then hujibu maswali chini yake then panakua hakuna mtu anaewaangalia ata kidogo ni kamera zao tu. Km vp nichek 0715100687
 
Mkuu uliomba position gani? Maana na mimi niliomba lakini hadi leo naona kimya hawajaniita?
 
Back
Top Bottom