Maswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,051
2,105
Mambo wakuu,

Nimeitwa NMB Nothern Zone hapa Arusha,nilikua naomba mnisaidie kunipa format ya maswali wanayouliza kwenye written zao.

Shukrani
 
sasa hapo kosa langu ni wapi mkuu?

Hakuna kosa ila nakutahadharisha tu usiongee sana kuliko inavyohitajika, umeshaona watu wenyewe tayari wameshaanza kukunyanysa kwa maneno, kuwa mpole na jitahidi tu hata kama hauwezi kuwa mtiifu alimradi ufanikiwe maisha na yataendelea kama kawaida.
 
mambo wakuu?nimeitwa nmb nothern zone hapa arusha,nilikua naomba mnisaidie kunipa format ya maswali wanayouliza kwenye written zao.
shukrani
Kwenye any interview wanaangalia vitu vingi. Hivi umesoma kichwa cha thread yako kabla ya kupost? Writtem ndo nini? You have to be care.
 
Back
Top Bottom