inshaallah
Member
- Mar 22, 2018
- 14
- 27
Ukisha zoea kuibia kamwe hutaacha. Kijana badilika.Habari wakuu!
Guys kwa yeyote aliwahi kufanya interview ya written kwenye mashirika ya DAWASCO( DAWASA,MTUWASA etc) Kama Water Technician naomba ashee maswali ambayo alikutana nayo!
Asante.
Ni interview yangu ya kwanza,sijui hata maswali wanatoaje so nilitaka tips tuUkisha zoea kuibia kamwe hutaacha. Kijana badilika.
AsanteeeSoma sana kuhusu fluid dynamics (only basics), Pump (hapa ni muhimu ujue kila kitu) na organization stuffs.