Maswali ya usaili wa Utumishi

Dom2

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
72
Reaction score
99
Habari za leo wanajukwaa wote.

Naombeni msaada kwa haya yafuatayo kuhusu interview(usaili) za utumishi maarufu PSRS (ajiraportal).
1. Usaili wa utumishi unajibiwa kwa "essay au short answers' tu?

2. Naomba possible Questions za maswali ya "Social welfare officer na Mkufunzi wa lugha ya Kingereza" kwa waliowahi kufanya interview hizo.

Natumaini ombi langu mtalifanyia kazi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awabariki wote watakaonisaidia ombi hili.
 
Mkuu jiandae na aptitude test tu.

Zijue boarder za TZ na mengineyo yahusu hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…