Maswali ya research na majibu yake

Maswali ya research na majibu yake

kiri12

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
638
Reaction score
558
Habari wanajukwaa, Tafadhali naomba tusaidiane maswali ya research na majibu yake ambayo ni common yanapenda kuulizwa kwenye usahili wa utumishi.
 
Ili uwe na nafasi kubwa ya kufaulu ni vizuri ukaisoma research yote mkuu, maana hawatabiriki watatoa wapi.na pia unaweza kuingia kwenye mtihani usikute swali hata moja la research

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom