Maswali ya mwanamke mpya

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
2,449
Reaction score
5,338
Habari ndugu zangu,

Siku hizi kuna katabia ya baadhi ya wadada pale unapowatongoza wanakuuliza "ntaaminije kama unanipenda kweli?" Aisee hili swali ogopa sana hapo wanakuandalia mazingira ya kupiga panga mapema sana. Nilishwahi kuulizwa na mdada hivo jibu nililompa nahisi alienda kulia na ugali ikabidi apotezee.
 
Dawa yao ni kumwambia tu ukweli, kwamba ukinitunuku kipochi manyoya chako nakupeleka show room tukasaidiane kukuchagulia usafiri wala hatakukatalia
 
Cha msingi ni kujiamini, onesha mapenzi kwa vitendo sio maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…