Q:unanipenda?
A:sikuchukii
Haya majibu yameenda xule.
we g.n.n avatar yako ni nzuri aiseeHaya majibu yameenda xule.
Hahahaha n kama ndan ya daladala
KONDA NA ABIRIA Abiria-kuna siti au
unaniambia tu nipande?
Konda-hao wengne
wamekalia ndoo!
#**#** Abiria-hebu punguza saut
redio!
Konda-sheria za nchi
zinatushnda 2zifate na
zako? Hebu tupunguzie
misheria ***#*
Abiria-ondoa gar bwana!
We uoni joto?
Konda-usituzingue wewe!
shuka kapande fridge!
**** Konda-ant kuna siti nyuma!
Ant-siwez kukaa sit za
nyuma
Konda-kwenda zako
wewe! Kwan za nyuma
ziko nje ya gar?. *****
Sister duu-konda
unanibana!
Konda-mbona nguo
ulizovaa huzisem? Kama
unataka kujiachia ungekod tren peke yako!
Q: Umenyoa nywele?
A: Hapana, nimebadilisha kichwa.
Q: Hiyo simu umenunua?
A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe.
Q: Utakula mboga na nini?
A: Mdomo
(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza)
Q: Nimekuamsha?
A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.
Q: Gazeti la leo linasemaje?
A: Sijaongea nalo.
Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?
A: Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.
Q: Hiyo ni ajali?
A: Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down.
Q: Umepause movie?
A: Hapana wamechoka kuact wanarest.