Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Jul 10, 2015 #1 wakuu,mambo vipi?kuna mwenye kujua hawa jamaa interview zao huwa wanauliza maswali gan hasa?
B Bukyanagandi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 11,626 Reaction score 18,223 Jul 10, 2015 #2 Perry said: wakuu,mambo vipi?kuna mwenye kujua hawa jamaa interview zao huwa wanauliza maswali gan hasa? Click to expand... Mkuu hebu fafanua kidogo, unataka ku ajiliwa na kampuni yenyewe au Kampuni imepewa dhamana na makampuni/shirika lingine ili lifanye usaili on their behalf wao kama ma consultants.Ukijib maswal yang mafupi ndi ntakupa ushauri.
Perry said: wakuu,mambo vipi?kuna mwenye kujua hawa jamaa interview zao huwa wanauliza maswali gan hasa? Click to expand... Mkuu hebu fafanua kidogo, unataka ku ajiliwa na kampuni yenyewe au Kampuni imepewa dhamana na makampuni/shirika lingine ili lifanye usaili on their behalf wao kama ma consultants.Ukijib maswal yang mafupi ndi ntakupa ushauri.
D Data na Biti Member Joined Apr 4, 2011 Posts 40 Reaction score 13 Jul 11, 2015 #3 Y kwanza aptitude ukipita, group interview ukifaulu unachek na HR afu kwa wenye kampuni...umemaliza, just 4 steps
Y kwanza aptitude ukipita, group interview ukifaulu unachek na HR afu kwa wenye kampuni...umemaliza, just 4 steps
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Jul 12, 2015 #4 Data na Biti said: Y kwanza aptitude ukipita, group interview ukifaulu unachek na HR afu kwa wenye kampuni...umemaliza, just 4 steps Click to expand... Perry ummesoma hapa mkuu? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Data na Biti said: Y kwanza aptitude ukipita, group interview ukifaulu unachek na HR afu kwa wenye kampuni...umemaliza, just 4 steps Click to expand... Perry ummesoma hapa mkuu?
E edson msakala Member Joined Oct 12, 2014 Posts 38 Reaction score 4 Jul 12, 2015 #5 Nawafaham nyie asa kiingilio bei gan