tff sisi mashabiki tunastahili kuwashitaki mlitutangazia kuna mechi ya ligi kuu mpira wa miguu kati ya yanga na jkt ruvu tukalipa viingilio kumbe ni mechi ya mpira wa ragbi.kwa maana hiyo mmetutapeli kwanza mechi hizo hazipo hapa nchini kama ruvu walitumwa kucheza hivyo watafutwe au kuifuta kabisa hizo timu pamoja na polisi waliofanya fujo huko nyuma

ikizu katiba ya TFF inaruhusu uundwaji wa kamati kama hizi.Tahadhari nitachukua kuhusu ulilolisema. Uchaguzi Mara na Morogoro tunaandaa.
Nilivyosikia fedha za FIFA zitatumika kujengea Maduka Karume nikachoka na malinzi.
Acha na yeye apite kama wengine, Tanzania iendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu.
TFF ni lazima iwe makini zaidi, kwa sasa ligi imegeuka vita. Ladha ya soka safi inapotea na kinachoanza kuota mizizi ni kukamiana na rafu chafu zenye kuhatarisha uhai kwa wachezaji. Itafika wakati tutashindwa kuona tactical holding, piercing and physical confrontation kwa sababu wachezaji wataogopa kukaa na mpira au kulazimisha move kati kati ya msitu wa mabeki kwa kuogopa kilichompata Emanuel Okwi na Amis Tambwe. Kuna njia rafiki za kuchukua mpira kwa adui kama tackling and tactical obstruction ( refa akipeta poa) lakini huu uhuni mtauana. Marefa muwe makini . Faulo walizofanyiwa Tambwe na Okwi technically and tactically zina muathiri mchezaji kisaikolojia.
FAIR PLAY PLEASE Jamal Malinzi

Hivi kuna sheria yoyote ya FIFA inayolazimisha makato ya mechi yapelekwe
TFF
TAFCA
CHAMA CHA MAREFA na kwingine kote?
RAIS,
Vipi inaruhusiwa njumbe wa kamati ya utendaji kuingia kwenye chumba cha waamuzi na kutoa maelekezo kwa kwa waamuzi akidai kuwa yanatoka kwako wakati wa mapumziko? hili limetokea vkatika mechi mbalimbali alizocheza Toto African ya mwanza.
na leo inacheza Arusha na yanasemwa mengi juu yako take care Rais