Ongea na serikali hasa wizara ya elimu iteue shule moja ya sekondari na shule moja ya msingi yenye eneo la kutosha kutoka kila mkoa alafu mzitengenezee miundo mbinu ya kimichezo ili ziwe shule maalumu za kimichezo kwa soka la wanaume na wanawake yaani vijana wenyevipaji watakao kuwa wanaimbuliwa kutoka michuano mbalimbali kimkoa wanawekwa pamoja na huku wanaendelea na masomo yao. Shue hizi ndizo zitakazo kuwa mazizi ya wanamichezo lakini mkiwa na lengo la kufika ngazi ya wilaya baada ya ngazi ya mikoa kuimarika.Kwa mtazamo wangu ni kuwa tutakuwa tumelea vipaji vya lika lote kwa urahisi. Wazazi wanaweza kuchangia sehemu ya gharama za chakula na vifaa,TFF mkachangia gharama za wataalamu na michezo na serikali ikabaki na jukumu la uendeshaji kwa ujumla.
Lakini pia kwa wafuatiliaji wa mpira wa afrika mashariki Burundi ya leo kimpira sio ya miaka 20 iliyopita.Burundi ya leo ina wachezaji wawili kwenye English premier league Saido na bigirimana.Burundi ya leo ina wachezaji karibia kumi kwenye ligi yetu ya VPL.Burundi ya leo ina football academies mbili na sports centres za kueleweka.Kutokana na udogo wa nchi kila jumatatu na jumanne timu yao ya Taifa ina train kwa kujumuisha wachezaji wa ndani.Kwa taarifa ya wadau wa thread hii Burundi vifaa vya michezo havilipiwi kodi hata senti tano Tanzania mpira mzuri adidas original bei yake sh laki tatu kisa kodi.Tutafakari.Kumbuka hizo ni mechi za kirafiki za kukisuka kikos cha taifa stars
Ongea na serikali hasa wizara ya elimu iteue shule moja ya sekondari na shule moja ya msingi yenye eneo la kutosha kutoka kila mkoa alafu mzitengenezee miundo mbinu ya kimichezo ili ziwe shule maalumu za kimichezo kwa soka la wanaume na wanawake yaani vijana wenyevipaji watakao kuwa wanaimbuliwa kutoka michuano mbalimbali kimkoa wanawekwa pamoja na huku wanaendelea na masomo yao. Shue hizi ndizo zitakazo kuwa mazizi ya wanamichezo lakini mkiwa na lengo la kufika ngazi ya wilaya baada ya ngazi ya mikoa kuimarika.Kwa mtazamo wangu ni kuwa tutakuwa tumelea vipaji vya lika lote kwa urahisi. Wazazi wanaweza kuchangia sehemu ya gharama za chakula na vifaa,TFF mkachangia gharama za wataalamu na michezo na serikali ikabaki na jukumu la uendeshaji kwa ujumla.
chibasi hili wazo kuntu nakushukuru.Pamoja na hayo TFF tumeamua to take the bull by the horn.Kuanzia January wachezaji bora umri chini ya miaka 13 kwa gharama za TFF na washirika wetu tutawasomeaha Alliance academy mwanza na wale chini ya miaka 14 tutawasomeaha Lord baden school Bagamoyo.Tutazidi kufuatilia wazo lako ili shule za kuchukua hawa watoto wenye vipaji maalum vya mpira zizidi kuongezeka.Lakini pia wakati huo huo tuzidi kusomesha makocha maana hizi programu bila makocha wa maana ni bure.
Rwand sasa ni ya 68 duniani tanzania ya 105,uganda ya 76...duuuuh
...Rwanda waliamua kwa makusudi kbs..
Rwand sasa ni ya 68 duniani tanzania ya 105,uganda ya 76...duuuuh
sisi mashabiki wa mpira wa miguu tunakutuma wambie watangazaji wa azamtv tabia ya kukejeri timu za simba na yanga zinapocheza hatutaki wao watangaze mpira tu kama jana simba na kagera ooh mara simba imefanya usajiri hawaoni wanachofanya na yanga vivyo hivyo mbona wale wa studio wanasema vizuri sasa hawa watangazaji ndio kujibembereza kwa bakareza wape onyo

Ndugu zangu niwatakieni kheri ya mwaka mpya,uwe wa kheri na fanaka kwa nchi yetu.
chibasi hili wazo kuntu nakushukuru.Pamoja na hayo TFF tumeamua to take the bull by the horn.Kuanzia January wachezaji bora umri chini ya miaka 13 kwa gharama za TFF na washirika wetu tutawasomeaha Alliance academy mwanza na wale chini ya miaka 14 tutawasomeaha Lord baden school Bagamoyo.Tutazidi kufuatilia wazo lako ili shule za kuchukua hawa watoto wenye vipaji maalum vya mpira zizidi kuongezeka.Lakini pia wakati huo huo tuzidi kusomesha makocha maana hizi programu bila makocha wa maana ni bure.
Andaeni basi na kozi za awali za ukocha kwa walimu wa sekondari na msingi, ikibidi zitangazwe kupitia Halmashaur tuko tayari kujilipia sababu hata hizi kozi kupata tu taarifa tunabaniwa.
Uwekezaji kwa walimu ni mrahisi sababu tunakaa na watoto shuleni kwa zaidi ya miaka 4 ni rahisi kwetu kunurture vipaji vyao.
Na lingine kwa nini copacoca cola ina ada kubwa ya ushiriki?? Shule zetu haziwezi kugharamia kushiriki!!
Hongera RAIS
kwa uamuzi wako mzuri wa kufanyia marekebisho Kamati ya waamuzi. lakini bado kuna changamoto mpya iliyopo juu ya kamati uliyoiunda ya kukushauri wewe juu ya masuala ya waamuzi ambayo haipo kikatiba, je haitaleta mgongano wa kimaslahi baina ya kamati hizi mbili? na ukumbuke baadhi ya wajumbe wa hii kamati ya kukushauri walikuwa kwenye kamati ya waamuzi na walikua na element ya RUSHWA japo umemwacha mmoja,