Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,209
Halafu ukishajua ndio iwe nini?
haya maswali Ngasoka wii.....
Hebu jipange upya siyo unakuja na maswali ambayo hayakichwa wala miguu hapa,ukijua hayo ww itakusaidia nin?
Wengine wnakuwa wamekunywa viroba ndo wanakuja kupost sijaona mantiki ya kutaka kuyajua hayo aliyoyaandikaHata mimi nashangaa
Wengine wnakuwa wamekunywa viroba ndo wanakuja kupost sijaona mantiki ya kutaka kuyajua hayo aliyoyaandika
Sema wewe mwaya maana duh! sijui wanakurupuka! hata sielewi hawaagani na
medula kwanza wanaendaenda tu kama wamekatwa shingo
Hahahaaaaa sasa wanatembeaje kama wamekatwa shingo?