Maswali mengine usimuulize!

Kutaka kujua alifanya na nani hapo naona ulikuwa kweli unatafuta presha.
Maana anaweza kuwa mtu unayemjua halafu kitakachofuata utataka kujua uwezo wa mpinzani lol.

Kwanini aulize..upo nae ndani hakuna haja ya kuuliza past unataka presha tuu
 
Hahahhhahhhshhhs aisee kwa kweli tusiwe tunauliza ulizaaa
 
mmekutana wote kumbukumbu F...lol
basi tabu tupu...kapimeni hako katoto kenu...kanaweza kakawa memoryless kabisaa
walimu wakachapaa weee kumbe origin ni nyie

Hahaaaaaa!!!!
Watu mna maneno makali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…