Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 332
Niko front line japo sio siti no 1Mshana jr
Brother.Kama chenye mwanzo kina mwisho, siku ya mwisho wa jua itakuaje, na kama jua halina mwisho basi halina mwanzo na jua ni Mungu. Atheists mmeshindwa kuelezea mwanzo wa vitu basi kubalini jua ni Mungu.
As far Iknow, athiesm ni watu wanao-amini sayansi na hawana dini.Swali lenye mkanganyiko mkubwa kwao ni Atheism ni dini ama ni imani?
Kiasili ndio hivyo lakini sio hawa ma atheist walioasi dini zaoAs far Iknow, athiesm ni watu wanao-amini sayansi na hawana dini.
Sasa hayo maswali yako dhaifu ndio yana prove uwepo wa unayemuita Mungu?Habari wana wa JF
Karibu katika uzi huu.Kwasababu sisi ni werevu naomba tuoneshe heshima kwa wengine kabla hatujaenda mbele.
Kabla ya kuuliza masuali yangu naamini wazi kuwa kila kitu kimetengenezwa na kimefanisiwa vizuri, na ndio maana hata gari haikuja wenyewe isipokuwa imeundwa.
Swali no 1:
Kwanini sisi wanadamu na vyote vilivyomo duniani pamoja na dunia yenyewe tukawepo na chanzo chetu haswa ni nini?
Swali no 2:
Kama kila kitu kimekuja tu na ni asili kwanini sisi wanadamu tumekuja katika maumbile tofauti? Na hali yakuwa asili haibadiliki muundo wake,sifa zake, na wala ubora wake.
SWALI NO 3:
Kwasababu asili haibadiliki, kwa nini sisi tunakufa na wala sayansi haijagundua tiba ya hili?
Akijibu ni tag ""Kwa hiyo kutojua majibu ya hayo maswali ndio tuamini kuna Mungu? Kwa hiyo, unathibitisha kuwa kuamini kuna Mungu sababu yake ni kutojua, yaani IGNORANCE?
Shida inakuja kwamba, mnataka mdahalo na atheists, il hali hamjui hata atheism ni kitu gani, ndio maana mtu anaona uvivu hata kuwajibu, inahitaji moyo mkuu sana kujadili na mtu rocket science, ili hali mtu huyo hajui hata rocket ni kitu gani!! Mwenzio anasema eti atheism ni kuamini sayansi, hivi sayansi nayo ni kuamini? Yaani mtu huyu, hajui hata maana ya imani, au hata sayansi, inatiwa watu uvivu kujadili.Swali lenye mkanganyiko mkubwa kwao ni Atheism ni dini ama ni imani?
Kama Mungu anasikia maombi yenu, kwa nini mnachinjana na asiwaletee imani moja tu mkaelewana? Anashindwa nini mpaka awaache waumini muuane weeee! Ye anawachora tu! Anapata faida gani pale watoto wadogo wanapouawa huko mashariki ya kati na wababe wa vita? we kwani hujui mtu akifa kama hakuzikwa ananuka na anaoza? Tatizo hayo unayouliza umeyotoa wapi?As far Iknow, athiesm ni watu wanao-amini sayansi na hawana dini.
Mkuu comment yako inaonesha wazi una udhaifu wa kuijbu masuali hayoShida inakuja kwamba, mnataka mdahalo na atheists, il hali hamjui hata atheism ni kitu gani, ndio maana mtu anaona uvivu hata kuwajibu, inahitaji moyo mkuu sana kujadili na mtu rocket science, ili hali mtu huyo hajui hata rocket ni kitu gani!! Mwenzio anasema eti atheism ni kuamini sayansi, hivi sayansi nayo ni kuamini? Yaani mtu huyu, hajui hata maana ya imani, au hata sayansi, inatiwa watu uvivu kujadili.
mkuu nani kazsema jua halina mwsho? kama nyota zingine huwa zinakufa jua nalo litakuja kufa tuKama chenye mwanzo kina mwisho, siku ya mwisho wa jua itakuaje, na kama jua halina mwisho basi halina mwanzo na jua ni Mungu. Atheists mmeshindwa kuelezea mwanzo wa vitu basi kubalini jua ni Mungu.