Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,114
- 1,305
MASWALI MATANO YA KUJIBU KABLA YA KUANZA BIASHARA YOYOTE
Na Elly Dulla
Email:ellydulla@gmail.com
0766444050(WhatsApp Only)
1.WEWE NI NANI?
Hili ni swali la kwanza na la muhimu kabisa la kujiuliza..swali hili linalenga wewe kujitambua kuwa wewe ni nani hasa,unafanya nini?je,hiyo biashara unayotaka kuianza utaweza kuisimamia ipasavyo?una majukumu gani? unayatimiza ipasavyo?kama majukumu uliyonayo huyamudu je ukijiongezea na hilo jingine utafanikiwa kweli?una uelewa na taarifa za kutosha juu ya hiyo biashara unayotaka kuianza?
Nitaeleza zaidi masomo yatakapoanza hivi karibuni..usikose
2.UNATOKEA WAPI?
Swali hili ni la msingi mno kujiuliza,lazima ujiulize unatokea mazingira yapi?familia yako na ndg zako ni watu maskini,kati au matajiri?je utaweza kufanya biashara katika hali waliyonayo bila kukuathiri?umejipanga vipi kukabiliana na changamoto hizo?maana ndg,marafiki na familia ni moja ya sababu zinazofanya wafanyabiashara au wajasiriamali wengi kufeli..nitaeleza zaidi masomo yatakapoanza..
3.KWANINI UPO HAPO ULIPO?
Kumbuka hapa tunazungumzia biashara/ujasiriamali hivyo ni suala la msingi sana kujiuliza je,hali ya uchumi(umaskini,kati na utajiri)ulionao ndo unastahili kuwa hapo?imekuaje mpaka ukafikia hapo?je,ni juhudi,bahati mbaya au ni makusudi na uzembe wako au waliokutangulia?ni wapi ulipokosea/walipokosea au kufanya vizuri mpaka ukafikia hapo ulipo?
Ukipata majibu haya utakuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio siku zote...
4.UNATAKIWA KUFANYA NINI?
Unapoenda vitani huwa inajulikana unaenda kupambana na wapinzani wako kufa na kupona lakini tumaini kubwa huwa ni kushinda ndo maana wanajeshi huimba nyimbo za ushindi muda wote,
Labda nikuambie kidogo ndg yangu,biashara ni zaidi ya vita...biashara ni mapambano yanayohitaji akili,juhudi,nguvu,maarifa na uvumilivu kila muda bila kuchoka na ndio maana wengi wetu hushindwa kufanikiwa kwa sababu tunaamini ukianzisha biashara basi umemaliza...kuna msemo wa kiingereza unasema "STRUGGLE FOR EXISTENCE" huu unafaa sana kuukumbuka mara kwa mara maana bila ku-struggle lazima utafeli katika biashara..Kwenye biashara lazima ujue unapaswa kufanya nini ili uweze kushinda/kufanikiwa.Ukipata majibu ya swali hili utaanza biashara ukiwa na mbinu zote za kushinda..
Kumbuka "Biashara ni Vita isiyoisha"
5.NINI MALENGO YAKO YA KUFANYA BIASHARA?
Unapoanza biashara hebu kaa chini tafakari kwanini unaanzisha biashara hiyo?nini kimekuvutia?una malengo gani unayotaka kuyafikia kutokana na biashara hiyo?je,umepanga kuyafikia kwa muda gani?usipoyafikia kwa muda huo utafanya nini?na ukiyafikia kwa muda huo uliojipangia utafanya nini pia au ndo itakuwa mwisho wako?
Ukiweza kujibu maswali haya hakika utakuwa umejiandaa ipasavyo kufanikiwa katika biashara yako..
Kupata undani na maelezo ya kutosha juu ya maswali haya pamoja na masomo mengine mengi ya biashara/ujasiriamali,..Comment namba yako au tuma inbox ili uunganishwe na BRILLIANT ENTREPRENEURS GROUP(B.I.G)..utakutana na walimu wa biashara/wafanyabiashara wazoefu ambao watashea na wewe mbinu mbalimbali za kufanikiwa katika biashara wakiongozwa na mwalimu/mjasiriamali Elly Dulla.Masomo yataanza tarehe 01/03/2016
NB;KUNA MALIPO KIDOGO SANAA
"BIASHARA NI VITA"