Pitia huu uzi mkuu⬇️Mkuu.
Nakwambia hivi, mimi nikiamini Mungu ndiyo naweza kukufanyia ubaya.
Nikitaka kukufanyia ubaya wowote, sikosi mstari wa Biblia au Quran wa kuhalalisha ubaya wangu.
Nisipoamini Mungu ndiyo nakuwa mtu poa kuliko hao wanaoamini Mungu.
Hakuna uthibitisho wa kisayansi wa kuwapo kwa Mungu katika uzi huo.Pitia huu uzi mkuu[emoji3596]
Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi
Nawasalimia wana JF wote. Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo. Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea...www.jamiiforums.com
Infropreneur Kiranga kama ikiwapendeza
ungana nasi katika kuwakomboa waafrika kutoka kwenye utumwa wa kifikra
Haya maswali una muuliza nani sasa?!!Kama Mungu hayupo ,jibu haya maswali
31 “Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia?
Waweza kulegeza kamba za Orioni?
32 Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,
au kuongoza Dubu na watoto wake?
33 Je, unajua sheria zinazotawala mbingu?
View attachment 2604212
Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu Ni kukubali Kila unacho mezeshwa bila kuhoji. Na kutengenezewa uoga wa kuhojiMpumbavu ni Mpumbavu tu na haitatokea akajitambua ni Mpumbavu kwa mihongo, karne, milenia hata miaka asiyohesabika kwake maana upumbavu ni kipaji chake.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Vitabu vya Dini gani Sasa maana Dini zipo zaidi elfu mojaunatafuta ukweli adje sasa kwa kumuhoji mwanadamu mwenzako? Soma vitabu vya dini ndo vina majibu yako.... Likija suala la imani sio mabishano ya mechi za VPL mkuu.
Una akiliAnge weza kuumba maroboti kama anataka amri zake na sheria zake zifuatwe bila kuvunjwa hata moja.
Badala yake ana umba viumbe visivyo tii maagizo na sheria zake Halafu analalamika hivyo viumbe ni viovu,vikaidi na visivyo fuata sheria,amri na maagizo yake...
Huyo Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba binadamu wenye kuweza kutii maagizo yake tu??
Hivyo kama aliumba viumbe(Binadamu) visivyo tii amri zake kwa mapenzi yake mwenyewe hapaswi kuviadhibu kwa kutotii sheria zake, Badala yake angeumba viumbe anavyotaka vimtii wakati wote..
Hivyo huyo Mungu muweza wa vyote Hayupo na ameshindwa kuumba binadamu wenye kufuata akisemacho yeye.
Ange kuwepo, Tusinge kuwa tunabishana hapa ange kwisha tuzuia automatically.Hivyo Hayupo.
Mungu ambaye anataka wanadamu wote tuseme na tukiri yeye yupo,
Alishindwaje kuumba binadamu wenye Kujua yeye Yupo????
Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba binadamu wasio jiuliza uwepo wake??
Kama Mungu anaweza yote ange ondoa ufahamu Akilini mwa wanadamu kusema "Yeye hayupo" na angeweka ufahamu wa sisi kukiri tu "yeye yupo"..
Hivyo mpaka kufikia binadamu wanahoji uwepo wa Mungu ina dhihirisha tosha kwamba huyo Mungu Hayupo....
[/QU
Kama unasema alikuwa na uwezo huo uliosema, na bado hakufanya Kama ulivyotaka, basi aliamua kutofanya Ili upatikane wewe usiye amini na wapatikane wale watakaoamini.
"Tomaso aliamini Kwa kuona, Tomaso ana bahati sana, kwasababu haitakuja kutokea bahati aliyopata Tomaso.
"Heri wale wasioona wakasadiki" Kila mtu atalipwa kwa kadiri ya Imani na matendo yake.
Brother this is time.
Kama unasema alikuwa na uwezo huo uliosema na bado hakufanya Kama ulivyotaka au Kwa kadiri ya mawazo yako yaani vyovyote vile, Basi jua alifanya hivyo Ili upatikane wewe usiye amini na wapatikane watakao amini.Mungu ambaye anataka wanadamu wote tuseme na tukiri yeye yupo,
Alishindwaje kuumba binadamu wenye Kujua yeye Yupo????
Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba binadamu wasio jiuliza uwepo wake??
Kama Mungu anaweza yote ange ondoa ufahamu Akilini mwa wanadamu kusema "Yeye hayupo" na angeweka ufahamu wa sisi kukiri tu "yeye yupo"..
Hivyo mpaka kufikia binadamu wanahoji uwepo wa Mungu ina dhihirisha tosha kwamba huyo Mungu Hayupo....
Kwa nini huyo Mungu anataka kuaminiwa yupo akiwa mafichoni, Badala ya kujulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani?Kama unasema alikuwa na uwezo huo uliosema na bado hakufanya Kama ulivyotaka au Kwa kadiri ya mawazo yako yaani vyovyote vile, Basi jua alifanya hivyo Ili upatikane wewe usiye amini na wapatikane watakao amini.
Yesu angeweza kumsubiri Tomaso mpaka arudi ndo ajitokeze Kwa mitume wake wote, lakini alitokea wakati Tomaso hayupo.
Heri wasioona wakaamini. It's okay kufikiria Kama MUNGU hayupo, fanya Mambo yako yote ukiamini, Human being emerge, exist and perish. Ni kweli ipo siku utapotea kwenye uso wa Dunia, utakufa na historia yako itaishia hapo, lakini ni heri ungeamini, maana ungekufa na matumaini, kuliko kufa Kama wanavyokufa, paka, mbwa na hayawani wengine.
This is time bro.
Akili ni nini?Una akili
Atakuja siku na majira yaliyo amriwaKwa nini huyo Mungu anataka kuaminiwa yupo akiwa mafichoni, Badala ya kujulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani?
Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.Atakuja siku na majira yaliyo amriwa