Wewe kama waziri wa ujenzi umesimama mbele ya wana Igunga kumnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM, na kuahidi kutenga bajeti maalum kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mbutu iwapo watamchagua Dr. Dalaly Kafumu...! Maswali yangu ni:
Nawasilisha...!
- Je, iwapo wana Igunga wakaamua kumchagua mgombea wa CUF, CHADEMA, au chama kingine chochote, hilo daraja halitajengwa?
- Je, kama watanzania wote tulishuhudia bajeti nzima ya serikali; ikiwepo ya wizara ya ujenzi, ikipitishwa na bunge kwa upungufu, hadi kubatizwa kwa jina la "kasungura kadogo", wewe hiyo bajeti utaitoa wapi?
- Kama mojawapo ya kazi za bunge letu ni kujadili, kupitisha na kuidhinisha bajeti ya taifa letu, hiyo bajeti yako mwenyewe itajadiliwa, kupitishwa, na kuidhinishwa na nani, lini na wapi?
- Kama umeahidi kuwa daraja litajengwa, je ni lini hasa daraja hilo litakuwa tayari, na unawashauri nini wana Igunga iwapo itafika muda huo bila daraja hilo?
Kwa hiyo mkuu wana Igunga wasipoichagua CCM hatapata hilo daraja? Kwa hiyo waziri wa CCM ni waziri katika majimbo yaliyochukuliwa na CCM tu?ccm ndo Serikali full stop.
Nilikua namuona magufuli ni mtu mchapakazi,mwenye uchungu na nchi etc,kumbe nae stupid hivyo...!Kwa hiyo mkuu wana Igunga wasipoichagua CCM hatapata hilo daraja? Kwa hiyo waziri wa CCM ni waziri katika majimbo yaliyochukuliwa na CCM tu?
Je, hii tunaweza kusema ni rushwa, kutokujua maadili ya kazi, upendeleo, au ni ubabe tu?
Zaidi ya haya, huyu ni waziri aliyetamka hadharani kuwa Lipumba alivunja sheria ya nchi bila kuchukua hatua yeyote..... je tunahitaji viongozi kama hawa?Wewe kama waziri wa ujenzi umesimama mbele ya wana Igunga kumnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM, na kuahidi kutenga bajeti maalum kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mbutu iwapo watamchagua Dr. Dalaly Kafumu...! Maswali yangu ni:
Nawasilisha...!
- Je, iwapo wana Igunga wakaamua kumchagua mgombea wa CUF, CHADEMA, au chama kingine chochote, hilo daraja halitajengwa?
- Je, kama watanzania wote tulishuhudia bajeti nzima ya serikali; ikiwepo ya wizara ya ujenzi, ikipitishwa na bunge kwa upungufu, hadi kubatizwa kwa jina la "kasungura kadogo", wewe hiyo bajeti utaitoa wapi?
- Kama mojawapo ya kazi za bunge letu ni kujadili, kupitisha na kuidhinisha bajeti ya taifa letu, hiyo bajeti yako mwenyewe itajadiliwa, kupitishwa, na kuidhinishwa na nani, lini na wapi?
- Kama umeahidi kuwa daraja litajengwa, je ni lini hasa daraja hilo litakuwa tayari, na unawashauri nini wana Igunga iwapo itafika muda huo bila daraja hilo?
Wewe kama waziri wa ujenzi umesimama mbele ya wana Igunga kumnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM, na kuahidi kutenga bajeti maalum kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mbutu iwapo watamchagua Dr. Dalaly Kafumu...! Maswali yangu ni:
Nawasilisha...!
- Je, iwapo wana Igunga wakaamua kumchagua mgombea wa CUF, CHADEMA, au chama kingine chochote, hilo daraja halitajengwa?
- Je, kama watanzania wote tulishuhudia bajeti nzima ya serikali; ikiwepo ya wizara ya ujenzi, ikipitishwa na bunge kwa upungufu, hadi kubatizwa kwa jina la "kasungura kadogo", wewe hiyo bajeti utaitoa wapi?
- Kama mojawapo ya kazi za bunge letu ni kujadili, kupitisha na kuidhinisha bajeti ya taifa letu, hiyo bajeti yako mwenyewe itajadiliwa, kupitishwa, na kuidhinishwa na nani, lini na wapi?
- Kama umeahidi kuwa daraja litajengwa, je ni lini hasa daraja hilo litakuwa tayari, na unawashauri nini wana Igunga iwapo itafika muda huo bila daraja hilo?
ccm ndo Serikali full stop.
Katika viongozi wa nchi hii ambao nilikuwa nawaamini mmoja wapo alikuwa ni Magufuri,lakini kwa haya aliyosema Igunga ya Punda wa Prof. Lipumba na Ujenzi wa daraja kutoka katika bajeti ya serikali ikiwa ni kodi za wana CDM,CUF,CCM,NCCR n.k amenidhoofisha sana,
yaani mtu unayemuamini akiongea vitu vya kipuuzi na kipumbavu namna ile hadharani.........aaaagh!.......
..ila nashukuru kwa kutujuza kuwa ndani ya CCM na serikali yake hakuna clitical thinker na hii itatusababisha tuendelee kuitwa masikini mpaka kiama cha dunia labda CCM wang'olewe madarakani.
Na kwa jinsi hii,nawashauri CHADEMA wajipange vizuri kuwaelimisha wanawake,wanakijiji,wanaume na wasomi wachache ambao bado wana imani na magamba wabadili msimamo wao ili TZ tupate kupona.