Hii week utachanganyikiwa sana tu. Mpaka uje kupata hela utatulia 🤣Naombeni majibu maana nachanganyikiwa
Rwanda hawajui varta kama DRC na Tanzania nyumba unaweza kuikimbia kwa vituko.Sijawahi kuona mswahili anaitwa Yesu ila kule rwanda kuna Akayesu, Bizimungu. Kule hispania, ureno, argentina kuna watu wanaitwa Jesus, Angel, Maria. Maria hata waswahili wapo ila sijui watu hao kama kuna athari wanazipata kutokana na kuitwa majina ya Kiungu