Noel Shao
Member
- Jan 19, 2017
- 89
- 185
Kuna maswali nimekutana nayo mengi, wengi wakihoji kuhusu hatima ya Rais Donald Trump mara baada ya chama chake kushindwa vibaya, wengi wanahoji ni nini hatima yake katika sera zake, na wengine wakitaka kujua kama ile kura ya kutokuwa na imani na Rais kwa sasa inaweza hitishwa.
#Majibu:
Baada ya uchaguzi wa nusu muhula, ambao ni utaratibu wa kawaida wa Uchaguzi nchini Marekani, Chama cha Republican kimeshindwa na kupoteza umiliki wa Bunge la Wawakilishi. Huku katika bunge la Senate, wakishinda na kizuri zaidi wameongeza viti kadhaa.
Kuhusu, Rais Trump kupigiwa kura ya kutokuwa na imani nae, hasa baada ya kashfa ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani, itakuwa ngumu kufanyika.
Kwanin - :
1. Suala la impeachment si jambo jepesi namna hiyo, ikumbukwe Marekani pamoja na ukongwe wake, mpaka sasa hivi, ni Marais watatu tu walisha kumbana na impeachment. Wa kwanza ni Andrew Johnson, Regan Nixon na mwingine ni Bill Clinton mwaka 19998,.
Johnson hakuondoka, Richard Nixon, yeye wakati mchakato unaendelea aliamua kuanjia ngazi 1974,Clinton yeye ni kuwa bunge la Senate lilimuokoa. Hivyo bas impeachment si jambo jepesi kutekelezeka.
2. Bunge la uwakilishi wanaweza mu-impeach mathalani Trump , halafu kwenye bunge la Senate akawa acquitted . Hivyo ikawa salama kwake, Rejea impeachment ya Clinton.
3. Kama ni suala la impeachment, wamarekani wanaweza kumuondoa bila kujali vyama vyao, pale unapo enda kinyume na interest za zao utaondoka tu, kwao 'America first'. Kila mtu aliye raia wa Marekani huwa analishwa na kuaminishwa kuwa Marekani must be the first in every things. Na hawa watu wana Umoja kama siafu.
4. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais hasa katika sakata la Russia kuingilia uchaguzi wa 2016 ambao ulimpatia Trump ushindi ni kuipa ushindi Russia.,ambayo ni mpinzani mkubwa wa Marekani hasa katika masuala ya ulinzi na kivita. Sababu hii kubwa zaidi kwa sababu inaweza kumeza sababu nyingine hapo juu.
#Kuhusu, suala la Sera za Trump katika bunge.
Hapa ndipo palipo na upinzani mkubwa, sera nyingi za Donald Trump zimekuwa zikikosolewa sana duniani kote, hivyo hii ni fursa kwa Democrats kupinga sera zake hasa za kodi na uhamiaji bungeni, hapa lazima wamtingishe kisawa sawa.
Ila hii inaweza isiwe kikwazo sana kwa sababu, anaweza tumia executive order kupitisha sera zake, kama ambavyo alifanya Barack Obama kwa baadhi ya sera zake zilipo pigwa na bunge la kongresi.
#Kuhusu, hatima ya Trump mbeleni. :-.
Huu uchaguzi kama nilivyo sema kwenye andiko langu la awali, hutumika kama kura za maoni, yaani hutoa taswira ya uchaguzi ujao.
Kwa maoni yangu, Trump bado ana ushawishi, tusimchukulie poa, moja ya sababu zilizo mpa ushindi kwa baadhi ya viti ni sera zake za uchumi. Trump amekuza sana uchumi wa Marekani tangia aingie madarakani.
Hivyo, Katika uchaguzi ujao 2020, lolote laweza tokea, narudi msimchulie Trump kirahisi, hatima yake ni jinsi atakavyo cheza karata zake kwa miaka hii miwili iliyo salia.
#I to be corrected
Ndimi, mjoli wenu. Noel Shao
#mjenziWaJamiiMpya.