Maswali konki kwa Rostam Aziz baada ya interview yake hapo UTV

Boston12

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
506
Reaction score
1,671
Mimi naona kama Mzee alienda UTV kujisafisha lakini Tido Mhando angeuliza maswali technical kama haya, sidhani kama Mzee Aziz angeendelea na interview hiyo;

1. Mheshimiwa Rostam Aziz, umedai kuwa wawekezaji wa ndani hawapewi nafasi kwenye sekta ya madini kwa sababu hawana "creditworthiness" kama ilivyo kwa wawekezaji kutoka nje ya nchi. Lakini swali la msingi linabaki: Ikiwa wewe ndiye unayetambulika kuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa, na sasa tunajua kuwa baadhi ya wawekezaji wa nje walikuja kupitia mtandao wako binafsi, huoni kama unajikanganya — kwa maana ni kama ulitumia nafasi hiyo hiyo ya kisiasa kuandaa hawa "wazungu wa kuaminika", ili wakinunue migodi kwa bei ya kutupwa hapa Tanzania, halafu wewe baadaye unajinunulia hisa za migodi hiyo kwenye stock market ya nje? Je, hili siyo janja janja ya kibiashara iliyovikwa kivuli cha siasa?

2. Ulijivua gamba mwaka 2011 na ukaachana na ubunge ukidai "umestaafu siasa." Lakini kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, bado jina lako linatajwa karibu na kila uamuzi mkubwa wa kisera, na mara kadhaa umeonekana kwenye vikao vya faragha na viongozi wakuu wa serikali. Swali ni moja tu: Ni madili gani makubwa unayoyalinda au kuyasimamia ambayo yanakulazimisha kubaki ndani ya mduara wa madaraka? Na kwanini wafanyabiashara wengine wakubwa kama Mo Dewji na Said Bakhresa wanafanikiwa nje ya siasa, lakini wewe huwezi?

3. Kampuni zako hazionekani kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa nchini, wala hazitajwi kama mfano wa uwazi wa kibiashara. Wakati huo huo, unajivunia kuwa ‘mfanyabiashara mkubwa’. Je, ushiriki wako katika siasa una uhusiano na kuepuka majukumu ya kifedha kwa taifa — ikiwemo kodi — huku ukiendelea kupewa zabuni nyeti za serikali bila ushindani wa kweli? Je, si kwamba unalinda mazingira ya kibiashara yenye kivuli cha kinga ya kisiasa na ufisadi ndani yake?

4. Kama kweli unamiliki migodi nje ya Tanzania— hasa kwenye masoko ya hisa ya Uingereza na Australia — tafadhali taja majina ya migodi hiyo, ni lini ilinunuliwa, na umewekeza kiasi gani. Na kama hakuna mgodi hata mmoja nje ya Tanzania, unafikiri ni kwanini wawekezaji wa kimataifa wanashindwa kupata fursa kwenye nchi zao ili wanunue migodi huko kwao ili nawewe kupitia soko la hisa uwe na migodi South Africa, Brazil, Congo, Cameroon n.k kama ilivyo rahisi wewe kupata migodi hapa Tanzania? Je, ni Tanzania tu ambapo ni rahisi kwa Rostam Aziz kumiliki madini? Kwa nini?

5. Katika tukio lililofanyika Dubai, ulionekana ukisaini mkataba mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusiana na ushirikiano na kampuni ya DP World. Swali ni hili: Ulisaini mkataba huo kama nani serikalini? Ulikuwa na mamlaka gani kikatiba au kisheria kusimamia mkataba wa maslahi ya taifa mbele ya taasisi ya kigeni? Na je, upo tayari kueleza bayana kama una maslahi binafsi kwenye kampuni ya DP World au washirika wake wa kifalme wa Dubai?

6. Marehemu Rais John Pombe Magufuli alionekana mara ya mwisho kwenye kiwanda chako huko Morogoro, ambapo kuliripotiwa tofauti kubwa za kisera na kimaono kati yako na yeye, jambo ambalo hata wewe mwenyewe umelikiri hadharani. Sasa, kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyofuata baada ya kifo chake — na kupanda kwa ushawishi wako wa kisiasa na kibiashara — huoni kama wananchi wana haki ya kuuliza kama kifo cha Magufuli kilifaidisha mtandao fulani wa kibiashara ambao wewe ni sehemu yake? Unaonaje madai yanayoibuliwa ya kijasusi na wanaharakati kuwa ulifaidika moja kwa moja kisiasa na kifedha na kifo cha Magufuli?

7. Wewe ni miongoni mwa watu wachache Tanzania ambao majina yao yamekuwa yakitajwa mara kwa mara kwenye nyaraka za siri kama Panama Papers na zingine zinazohusiana na offshore companies. Je, unaweza kuweka hadharani muundo wa kampuni zako nje ya nchi, ni kiasi gani cha fedha zako kipo offshore, na kwanini huyaweke hapa nyumbani kusaidia uchumi wa taifa kama unavyojinasibu kuwa mzalendo na unalipenda taifa la Tanzania?

8. Wewe ni raia wa nchi Gani? Uwe mkweli kutoka rohoni kwa maana siku za nyuma hapa imeibuliwa pasipoti Yako ikionesha kuwa wewe ni raia wa uingereza? Huoni kutokuwa raia wa Tanzania unapanga mambo na mikataba ya kinyonyaji kwa wànainchi wa Tanzania kwa sababu wewe sio migongoni mwao japo machoni wajifanya kama mtanzania?

Leta majibu mheshimiwa!
Mdau kama una swali lingine ongeza
 
Maswali mazuri kabisa
 
Maswali muhimu sana,.
 
Zaidi sana amsubiri mjumbe kutoka Kuba aliyesema leo atakuwa kwenye kumkumbuka waliye m foxtrot
 
..elimu ya msingi na sekondari alisoma shule gani?
 
Nasikia DP world ni yake yeye katumia tric na warabu wanapewa kapasenti ila kampuni ni yake
Yaani huyo jamaa ukimgusa TU ni simu moja ona Tundu Lissu yupo mahabusu, jamii forum wameacha habari zake simu moja imepigwa ili mtandao huu ufungiwe
 
Nilitarajia maswali kama hayo kwenye ile interview!
 
Kuna vitu vingi vimekwatwa mule, Ndiyo maana wamefanya recorded na siyo LIVE. Inaonesha Kuna alivyoviongea kama vingeachwa watu wangeunganisha dots faster sana.

Hata hivyo kaenda kujisafisha ndomana tido hajambananisha, kamuuliza vitu soft mno. Naona kaachwa aongee sana kuliko maswali.
 
Angeyajibu haya Bado ungekuja na Uzi wa kuhoji kwanini hayakuulizwa hayo yaliyoulizwa juzi.
 
Akiulizwa maswali konki machawa wake wanakimbilia kusema masikini wana chuki na tajiri.

Wanajisahulisha kwanini yeye tu kila siku sio mzee Bakhresa au wengine?
 
Back
Top Bottom