Maswali kibao juu ya Tego| Password

Vipi yale maandiko yanayosema funga mlango wako nami nitakulinda
 
Vipi yale maandiko yanayosema funga mlango wako nami nitakulinda

Hata Musa wakati anatumwa alisema hana kitu bt Mungu alimtel una fimbo
so Mungu anatutaka tuwe responsible then pale tunapo shindwa yeye hujitukuza
Milango yako ikishindwa watu wakavunja ndani yeye hujakati hapo utaamin kuwa yeye ndo last option na hashindwi
Umesahau Daudi alimuua Goliati akiwa ana pambana nae na sio kukaa kusubili Mungu amalize?
 
Tabu yote hiyo ya nini? nikujipa magonjwa ya moyo tu na kutokuwa responsible kwa mambo ya maendeleo. Fanyeni kazi ndg achaneni na ujinga huu. Suala la msingi hapa ni kulinda afya zenu wanandoa, kuheshimiana na kuwa na hofu ya Mungu.
 
Sawa ndugu,shida ni kwamba binadamu hubadilika,hufika wakati watu hata hofu ya Mungu hupotea na kuacha michepuko.

Tabu yote hiyo ya nini? nikujipa magonjwa ya moyo tu na kutokuwa responsible kwa mambo ya maendeleo. Fanyeni kazi ndg achaneni na ujinga huu. Suala la msingi hapa ni kulinda afya zenu wanandoa, kuheshimiana na kuwa na hofu ya Mungu.
 
kama wanatumia voice call kama njia ya maongezi? or social netwrk kama viber, whatsapp n etc
utafanyaje kujua? bora muaminiane tu
Waweza tumia kifaa kinachoitwa Simcard Reader au Sim Card Manager waweza kujua kila kilichoendelea kwenye laini ya simu tokea laini ilipoanza kutumika.
 
presha zote za nini hizo! life should be simple and we should live as free as electrons.....you just have to play your part...hayo mengine God will always be in control!

kweli kabisa
 
kweli watu mnajua kujishughulisha na swala zima la mapenzi,embu wahi akakupe ya kugandana
 
Muwekee software ya kutrack maongezi yake kwenye simu na GPS kwenye simu.

Itasaidia sana

Mimi nakula full updates hapa kwenye mail yangu

huku ni kujitafutia stress,na akiwa na headset nyingine anaitumia kwa siri bila wewe kujua au akiwa anatumia simu ya rafiki yake kuwasiliana na michepuko utajua kweli?mtu hachungiki mambo mengine ni kumuachia mungu tu
 
Tabu yote hiyo ya nini? nikujipa magonjwa ya moyo tu na kutokuwa responsible kwa mambo ya maendeleo. Fanyeni kazi ndg achaneni na ujinga huu. Suala la msingi hapa ni kulinda afya zenu wanandoa, kuheshimiana na kuwa na hofu ya Mungu.

kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
huku ni kujitafutia stress,na akiwa na headset nyingine anaitumia kwa siri bila wewe kujua au akiwa anatumia simu ya rafiki yake kuwasiliana na michepuko utajua kweli?mtu hachungiki mambo mengine ni kumuachia mungu tu

Si hadi aanze kufanya hvyo? Najua jinsi ya kumgundua, nimefanya hivyo mara kadhaa nimefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…