Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Shida ya hizo password za Kigoma ni hi, inaruhusu kuingia ila kutoka ndio inabidi uwe na password, so haizuii kuibiwa cause utakua umeisha ibiwa na utamkamata mwizi akiwa kaisha IBA, swali JE? Utamuacha mkeo? Umesema we ni mtu wa maandiko, hivi maandiko si ndio yanazuia kuachana? Na pia nadhani maandiko yanazuia kwenda kwa hao watu!?
Mkuu, ndoa za wazee wetu zilikua zinadumu kwa vile walikua hawapelelezani sana, mzee akirudi toka safari anapiga story kwa majirani weeeee, tena kwa sauti kubwa ili kama kuna mwizi wake atokee hata dirishani, jifunze hiyo mkuu, mambo ya password achana nayo, kumdahlilishia wife sio kabisa!
Habari za mchana wa leo?
Katika siku hizi kumekuwapo na tatizo SUGU sana la usaliti hasa kwa walioko kwenye mapenzi/mahusiano.Wengi hupenda kuita michepuko au nyumba ndogo.kidumu nk
Kuna jamaa yangu yupo Kigoma ameniambia kuwa kuna mtaalamu wa kuweka TEGO a.k.a PASSWORD hii inasema itanisaidia kujua mwizi wangu wa mke wangu kama ifuatavyo:
#1 .Ipo dawa ya kutega ili niweze kumkata mwizi wangu wangu IKIWA anatembea na mke wangu,hii inamaanisha watang'ang'aniana.
#2 .Ipo dawa ya kufanya mtu akose NETWORK/HISIA za mapenzi pindi watakapo kuwa faragha na huyo mwizi/dowezi
#3 .Ipo dawa ya kutegana wote wawili kila mtu kutokuwa na mawazo ya kuchepuka,na ikitokea kuchepuka niliyotaja hapo juu,moja laweza kutokea.
Nimejiuliza maswali kadhaa je vipi kuhusu imani yangu? Nimejipa moyo wa kufanya hilo kwani hata Mungu hapendi wezi,alisema hayo kupitia maandiko yake,pia hapendi na Uzinzi nk.
Wadau jamaa anazidi kunishauri niende akanipe hiyo dawa BURE,na anasema inachukua chini ya dk5 kukamilisha zoezi.
Sina shaka na my wife ila dunia ya sasa inapelekea kufikiria tahadhari ni bora.
Wadau naomba mawazo yenu juu ya wito wa jamaa yangu wa kwenda Kigoma kufuata tego a.k.a password.
angalia usije ukammilikisha jamaa mkeo pasi na kujua aseee nakonea huruma
Muwekee software ya kutrack maongezi yake kwenye simu na GPS kwenye simu.
Itasaidia sana
Mimi nakula full updates hapa kwenye mail yangu
naomba nisaidie huo ujuzi nami nijarbu
Kama nilivyoeleza hapo juu jamaa ameniambia kuna aina kadhaa za password/tego kwa hiyo mimi nitachagua ila ya kuzuia,kabla mwizi hajafanya uharibifu apoteze network/hisia (dushe lilale lisiwe na uhai tena hapo eneo la tukio,ila akifika home kwake dushe linaweza kufanya kazi)
Maandiko yanasema kila mtu alinde mali zake,ndio maana hata makanisani/misikitini kuna milango yenye kufuli,pamoja na walinzi hiyo yote ni kuimarisha ulinzi,dawa itakayotumika ni ya miti shamba kwa hiyo bado naamini itakuwa si kosa kiimani.
kama wanatumia voice call kama njia ya maongezi? or social netwrk kama viber, whatsapp n etcTaaluma ya bure kwa wanaohitaji, kwa wale wanaotumia simu za androids, nenda google play, kwenye sehemu ya search andika neno "sms forwarding", hii kitu ni free kabisa hakuna kulipia, nilimdaka x wangu kupitia njia hii, download hiyo program kwenye simu yake bila yeye kujua, kisha download program nyengine inaitwa "apps lock" ili kuifunga sms forwarding ashindwe kujua nini kinaendelea kwenye simu yake, sms forwading unapoingiza namba yako tu ya simu kwenye hiyo programu itaanza automatically kutuma meseji zote zinazoingia na kutoka kwenye hiyo simu kuja kwenye simu yako, na itakuonyesha namba mtu aliyetuma meseji na aliyetumiwa meseji kama una moyo mdogo unaweza kuvunja simu yako kwa hasira, wanawake si wa kuwawekea muamana, ushauri kama unampenda sana mkeo usije ukajaribu njia hii, ndoa yaweza sambaratika ndani ya sekunde tu. NI HATARI SANA.