Kiongozi maisha yako yenyewe ni interview tosha mpk leo huja experience chochote?? We subiri tu siku ifike nenda, ulizwa na jibu..Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha SUA. nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla. maana Sua hiki chuo nacho kina penda Complication.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi. maana yalionikutaga OPEN UNIVERSITY staki yanikutee SUA.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Hili ndio jibu sahihi sana kabisaKiongozi maisha yako yenyewe ni interview tosha mpk leo huja experience chochote?? We subiri tu siku ifike nenda, ulizwa na jibu..
Mambo yakujipanga kwenye hizi interview nilishaachaga mda, nilipiga msuli miezi mi2.
Kama niko advance mwisho wa siku naenda kufanya written sikukutana na swali hata moja lenye majibu ya Yale niliyojisomea. Mungu Shahid kwenye hili nikasema duuuuuuuuh ni Nini hiiiiii????
Kama uko vziur kwenye presentation kiongoz wala usiwe na kitete we nendaaa tuuuuuu
Mkuu kupeana mwanga muhimu.Kiongozi maisha yako yenyewe ni interview tosha mpk leo huja experience chochote?? We subiri tu siku ifike nenda, ulizwa na jibu..
Mambo yakujipanga kwenye hizi interview nilishaachaga mda, nilipiga msuli miezi mi2.
Kama niko advance mwisho wa siku naenda kufanya written sikukutana na swali hata moja lenye majibu ya Yale niliyojisomea. Mungu Shahid kwenye hili nikasema duuuuuuuuh ni Nini hiiiiii????
Kama uko vziur kwenye presentation kiongoz wala usiwe na kitete we nendaaa tuuuuuu
🤭Swali la kwanza panya magawa alikuwa na michepuko mingapi?
Kwa kukusaidia ingia website ya SUA utalikuta tangazoMbona wamelitoa tangazo ajira portal? Wameweka la manispaa ya Bukoba! Kwahyo kama hujaona jina lako itakuwaje sasa
Jpo umeshindwa kutaja kada,nakushaur Soma vitu vinavyohusiana na Kozi nzima. Usiache hta kimoja.Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha SUA. nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla. maana Sua hiki chuo nacho kina penda Complication.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi. maana yalionikutaga OPEN UNIVERSITY staki yanikutee SUA.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Sasa utafikaje kwenye presentation hujafaulu written mkuu?... Hahahahahahaa.. lazima utoboe written kwanzaKiongozi maisha yako yenyewe ni interview tosha mpk leo huja experience chochote?? We subiri tu siku ifike nenda, ulizwa na jibu..
Mambo yakujipanga kwenye hizi interview nilishaachaga mda, nilipiga msuli miezi mi2.
Kama niko advance mwisho wa siku naenda kufanya written sikukutana na swali hata moja lenye majibu ya Yale niliyojisomea. Mungu Shahid kwenye hili nikasema duuuuuuuuh ni Nini hiiiiii????
Kama uko vziur kwenye presentation kiongoz wala usiwe na kitete we nendaaa tuuuuuu
Hapo juu ameandika TA Chemistry.....comment #9Jpo umeshindwa kutaja kada,nakushaur Soma vitu vinavyohusiana na Kozi nzima. Usiache hta kimoja.