Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 2,455 Reaction score 2,888 Dec 19, 2024 #21 nyakubonga said: Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon... Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) azike. Click to expand... Amekata taamaa kachoka, haoni matumaini ya kupata mfu amzike, zaidi mwenyewe anahisi kuumwa na kufa kabisa 🤣🤣🤣 amejichimbia kaburi mwenyewe
nyakubonga said: Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon... Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) azike. Click to expand... Amekata taamaa kachoka, haoni matumaini ya kupata mfu amzike, zaidi mwenyewe anahisi kuumwa na kufa kabisa 🤣🤣🤣 amejichimbia kaburi mwenyewe
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,384 Reaction score 30,953 Dec 19, 2024 #22 Vishu Mtata said: Hapana ni Tlaatlaah ila kwenye uchimbaji walikua pamoja na Lucas Mwashambwa nadhani hapo pichani hayupo kaenda kuchukua ulanzi wachambe koo wakiendelea kusubiri. Click to expand... kumbafu sana gentleman, pepo na mkubwa wee alaa! 🤣
Vishu Mtata said: Hapana ni Tlaatlaah ila kwenye uchimbaji walikua pamoja na Lucas Mwashambwa nadhani hapo pichani hayupo kaenda kuchukua ulanzi wachambe koo wakiendelea kusubiri. Click to expand... kumbafu sana gentleman, pepo na mkubwa wee alaa! 🤣
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,078 Reaction score 16,398 Dec 19, 2024 #23 nyakubonga said: Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon... Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) azike. Click to expand... Sema na yeye(CCM) pia kachoka tayari, au ndio kusema ana umri mkubwa.
nyakubonga said: Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon... Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) azike. Click to expand... Sema na yeye(CCM) pia kachoka tayari, au ndio kusema ana umri mkubwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 49,793 Reaction score 130,742 Dec 19, 2024 #24 The Icebreaker said: Huyo kwenye hiyo katuni sio Lucas Mwashambwa kweli? Click to expand... Dah, Anaweza kuwa Lucas au Tlaatlaah
The Icebreaker said: Huyo kwenye hiyo katuni sio Lucas Mwashambwa kweli? Click to expand... Dah, Anaweza kuwa Lucas au Tlaatlaah
Zee la madawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2022 Posts 1,744 Reaction score 4,091 Dec 19, 2024 Thread starter #25 nyakubonga said: Unataka kubisha au kujadil! Click to expand... Lete maana yake sio kuleta argument kama mtoto wa kike
nyakubonga said: Unataka kubisha au kujadil! Click to expand... Lete maana yake sio kuleta argument kama mtoto wa kike
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,492 Reaction score 11,193 Dec 19, 2024 #26 Tajiri wa kusini said: Lete maana yake sio kuleta argument kama mtoto wa kike Click to expand... Soma pale juu we **** nimeshaweka.
Tajiri wa kusini said: Lete maana yake sio kuleta argument kama mtoto wa kike Click to expand... Soma pale juu we **** nimeshaweka.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 19,641 Reaction score 14,248 Dec 19, 2024 #27 The Icebreaker said: Huyo kwenye hiyo katuni sio Lucas Mwashambwa kweli? Click to expand... Anaweza akawa Yohana Mbatizaji! Huoni jamaa ana Msalaba kabisa! Ahahahahaha!! Mungu wa Mbinguni Ambariki Sana!
The Icebreaker said: Huyo kwenye hiyo katuni sio Lucas Mwashambwa kweli? Click to expand... Anaweza akawa Yohana Mbatizaji! Huoni jamaa ana Msalaba kabisa! Ahahahahaha!! Mungu wa Mbinguni Ambariki Sana!
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,085 Reaction score 11,009 Dec 19, 2024 #28 Tajiri wa kusini said: Jamaa haoni mtu wa kumzika japo yeye mwenyewe yupo ukingoni mwa kaburi lakini hayupo wa kumzika. Click to expand... Wasiyemtamka atakuja tu. Kauli ya Mzee Mtei inatoa uelekeo sahihi.
Tajiri wa kusini said: Jamaa haoni mtu wa kumzika japo yeye mwenyewe yupo ukingoni mwa kaburi lakini hayupo wa kumzika. Click to expand... Wasiyemtamka atakuja tu. Kauli ya Mzee Mtei inatoa uelekeo sahihi.
Zee la madawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2022 Posts 1,744 Reaction score 4,091 Dec 19, 2024 Thread starter #29 nyakubonga said: Soma pale juu we **** nimeshaweka. Click to expand... Duuuu
M mboji JF-Expert Member Joined Nov 8, 2024 Posts 200 Reaction score 244 Dec 19, 2024 #30 nyakubonga said: Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon... Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) vinavyoonekana ni labda mpasuko ndani ya chadema na kufa kabisa kwa chama icho Click to expand...
nyakubonga said: Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon... Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) vinavyoonekana ni labda mpasuko ndani ya chadema na kufa kabisa kwa chama icho Click to expand...
M mboji JF-Expert Member Joined Nov 8, 2024 Posts 200 Reaction score 244 Dec 19, 2024 #31 mbenge said: Wasiyemtamka atakuja tu. Kauli ya Mzee Mtei inatoa uelekeo sahihi. Click to expand... Kasemaje mkuu muasisi wa chadema
mbenge said: Wasiyemtamka atakuja tu. Kauli ya Mzee Mtei inatoa uelekeo sahihi. Click to expand... Kasemaje mkuu muasisi wa chadema
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,286 Reaction score 8,415 Dec 19, 2024 #32 Kipanya anasubiri kumzika TL