kwamba wafu wako vitani wanatwangana mbaya sana, mzikaji yupo kaburini tayari, ameshawaandalia makao ya mwisho, kazi yake ni kufukia tu ndicho kiliyobaki 🐒
hiyo ni sawa na vita ya panzi tu, ambayo ni furaha na kitoeo cha kunguru...
Hapana ni Tlaatlaah ila kwenye uchimbaji walikua pamoja na Lucas Mwashambwa nadhani hapo pichani hayupo kaenda kuchukua ulanzi wachambe koo wakiendelea kusubiri.