Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,477
Wakuu nauliza hapo ni ipi masters nzuri yenye fursa na upana katika fursa kwa taasisi binafsi na zile za umma kati ya Masters of arts in Public administration (UDSM) au masters of Human resource management (Mzumbe)
Karibuni kwa ushauri
Mkuu bachelor yangu nimechukulia pale kwa hyo napafahamu. Sina hofu juu ya hilo hata hvyo ahsante kwa ushauriasee nenda mzumbe UD utatolewa utumbo watu hawana huruma pale
Mkuu bachelor yangu nimechukulia pale kwa hyo napafahamu. Sina hofu juu ya hilo hata hvyo ahsante kwa ushauriasee nenda mzumbe UD utatolewa utumbo watu hawana huruma pale
Mkuu ahsante sana mpaka kuziletea hzi jukwaani ni course ninazozipenda sema natafyta best hasa kwa upande wa fursaWrite your reply...sina utaalamu sana na hizi courses, ila kazi zake zinafanana, cha msingi chukua uipendayo
Chukua masters ya business administration
Mkuu course zote nazipenda isipokua nimeleta hapa jukwaani ili nisaidiwe ni ipi yenye fursa pana zaidi ya nyingineAngalia malengo yako yaendane sanjari na kitu unachokitaka either of both n best kutokana goals zako
Ebu nijuze ud kukoje kwa masters jmnasee nenda mzumbe UD utatolewa utumbo watu hawana huruma pale
Siamini kama uko committed unaweza kushindwa, maana hats wakat tunapenda pale kuchukua bachelor tuliambiwa hivyohivyo lkn tulitoboa. I don't care about that naamini haiwez kushindikanaEbu nijuze ud kukoje kwa masters jmn
Nenda Mzumbe Moro ukapige MSc HRM ukasulubiwe na prof itikaWakuu nauliza hapo ni ipi masters nzuri yenye fursa na upana katika fursa kwa taasisi binafsi na zile za umma kati ya Masters of arts in Public administration (UDSM) au masters of Human resource management (Mzumbe)
Karibuni kwa ushauri
Itakupa fursa kama hutoajiriwaAhsante kwa wazo jipya endelea kunishawishi ubora wake kwa fursa kulinganisha na zingine
Mkuu habari ya kusurubiwa sina shaka, nimezipata hizo surba mlimani maana napo wapo wanaojua kusurubu hata hvyo nikienda Mzumbe nataka ni apply campus ya Dar, nachokitaji hapa ninkujua ipi ina fursa pana kuliko nyingineNenda Mzumbe Moro ukapige MSc HRM ukasulubiwe na prof itika
Ahsante sana kwa ushauri mkuuItakupa fursa kama hutoajiriwa
Bila Shaka UDSM umesulubiwa na kina Dr jingu, Dr Lupa, prof Makulilo,dr Bana, prof Chaliga,Dr Bruce Hellman, marehem prof Liviga na magundaz wengine wa idarani!Mkuu habari ya kusurubiwa sina shaka, nimezipata hizo surba mlimani maana napo wapo wanaojua kusurubu hata hvyo nikienda Mzumbe nataka ni apply campus ya Dar, nachokitaji hapa ninkujua ipi ina fursa pana kuliko nyingine
Kama muoga wa namba huko hakumfahiAhsante kwa wazo jipya endelea kunishawishi ubora wake kwa fursa kulinganisha na zingine