Mambo vipi Wadau
Nimemaliza Bachelor of Science Economics
But sina ndoto za kufanya kazi kwahivisasa hivyo
Naomba kujua ni Masters gani yenye labor-market kubwa zaid hasa hizi za Social Science.
Maana bado nataja nijiendeleze kwa level ya Masters then maswala ya Ajira baadaee..
Naomba msaada wa hili jambo.