Master's degree Udsm.

Master's degree Udsm.

Bborion

Member
Joined
May 20, 2019
Posts
63
Reaction score
41
Naomba kufahamu,kuhusiana na master's degree Udsm...
1. Dirisha limefungwa tayari?
2. Utofauti wa "master's degree in mathematics" na master's degree in mathematical modelling" .
3. Je kuna kozi za mathematics zingine tofauti na hizi mbili??

Natanguliza shukrani
 
Acha kupoteza muda wa kusoma masterz ya Mathematics. Badala yake nenda hapo nyuma ya UD kuna chuo cha East Africa Statistical training center ukasome masters ya Statistics. Itakutoa fasta kuliko hiyo ya modeling.

Mkuu hivi haya mambo ya statistics, marketability yake imekaaje?
Unaweza kuniongezea wigo wa uelewa wangu?
 
Mkuu hivi haya mambo ya statistics, marketability yake imekaaje?
Unaweza kuniongezea wigo wa uelewa wangu?
Statistics ina soko. We elewa hivyo... Unaweza ukafanya kazi za monitoring and evaluation na kazi zote za ukusanyaji na uchakataji data.
 
Statistics ina soko. We elewa hivyo... Unaweza ukafanya kazi za monitoring and evaluation na kazi zote za ukusanyaji na uchakataji data.
Ajira zao zinahitaji mapambano Sana, yaani ugangamale haswa, kwa maana ni ngumu kujiajiri kwa Hiyo Takwimu pekee.
 
Hilo linafahamika,ninachozungumzia mimi ni jinsi unavyoweza kuitumia field ya statistics kama Mfamasia,Dentist,Electrical engineer kuzalisha bidhaa au huduma kulingana na field uliosomea hata akisimama yeye kama yeye bila kuwa chini ya taasisi fulani iliyomuajiri.

Statistics unaizungumziaje katika Muktadha huo?
Kujiajiri bila hata elimu unaweza kujiajiri!
 
Back
Top Bottom