Kwa wanaotafuta ufadhili wa masomo nchi nyingine:
1. Hakikisha unatafuta taarifa katika sehemu sahihi, maana matapeli ni wengi. Anza na tovuti za balozi za nchi husika, tovuti ya wizara ya nje, TCU, tovuti za vyuo husika, nk
2. Umahiri katika lugha ya kiingereza (kama ndiyo lugha ya kufundishia) ni muhimu sana.
3. Jitahidi kutafuta makundi au mtandao wa wanufaika wa ufadhili unaotafuta (alumni groups) kabla ya kuomba.
4. Hakikisha shahada/stashahada utakayosomea inatambulika na TCU kabla ya kusomea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.