MasterCard vs. Visa: What’s the Difference?

asante sana
 
nilimuuliza mtu wa benki akaniambia ni eneo zinapotengenezwa, master ni us, visa ni uk na nyingine ni sa

natumizi ni yaleyale
 
nilimuuliza mtu wa benki akaniambia ni eneo zinapotengenezwa, master ni us, visa ni uk na nyingine ni sa

natumizi ni yaleyale
kwahiyo hakuna ATM inayo baguwa card na kusomesha VISA pekee?
 
Hili swali watoa huduma wa CRDB wenyewe walishindwa kulijibu, wakaishia kuniambia ziko sawa tu ila katika uhalisia sidhani kama kampuni zitatengeneza Cards mbili tofauti halafu ziwe zinafanya a typical operation! Naimani kuna tofauti ipo ila haijawekwa wazi,

Ni sawa na kampuni ya matairi inayotengeneza off-road tyres pamoja na Sport tyres halafu umuulize mtu akujibu kuwa yote sawa tu kwa maana ni funga lolote tu gari itaenda!
 
na vipi kuhusu maestro na smart card au zenyewe zina matumizi gani?
 
Nafikiri kuna mtu ameiba ID ya Nyani Ngabu huwa hatoi maelezo yasiyokwenda shule kama haya, pengine kazeeka siku hizi maana ukizeeka na akili inakuwa kama ya Mugabe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]dadeq
 
The question here is one of specificity.

Which Visa and which Mastercard?

The banal names have a myriad configurations, which makes the Mastercard vs.Visa question lacking specificity to give it a meaningful reply.
Mhhh freemason katika ubora wake
 
Boss Visa na Mastercard ni kadi mbili tofauti ila ziko sawa tu kwenye matumizi. Inaweza kuwa Credit Card au Debit Card.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…