Habari zenu ndugu....bila kupoteza mda naomba mwenye master plan ya jiji atuwekee ...nna mpango wa kwenda kujificha Nzasa ( Chanika)...
sasa haya mambo ya Bomoabomoa yasije kunikuta...
Natanguliza Shukran!!!
Bado sijapata eneo mkuu...ila nashawishika kwa bei ya viwanja huko japo hakuna umeme ...ndo naogopa kutia mguu kumbe mashamba ya watu haya...au kesho tunaambiwa barabara inapita hapa....ndo hofu yangu..