WAZIWAZI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 1,815
- 1,575
Ndugu wanajamvi,
Jambo linaloendelea sasa hivi ni siasa zinazotumia akili za kiwango cha juu sana na hili linadhihilisha jinsi gani CCM walivyobobea katika mambo haya huku UKAWA wakiingia mkenge bila kujua, ni dhahiri shahili kwamba tukio la jana la UDOM linaloleta msigano kati ya walimu na mkaguzi wa ndani huku serikali ikisubiri kisheria wamalize mgogoro wao ili ichukue hatua.
CCM waliungana na UKAWA kutofautiana na Naibu Spika na wakatoka bungeni kwa maksudi ili kumpa mzuka Mh. Mbowe akurupuke na akaingia mtegoni fasta bila kutafakari na think tank ya chama japo leo hii ni akina Sumaye masikini ya Mungu. Matokea yake katangaza kususa vikao vitakavyoongozwa na Naibu spika yeye na wapinzani kwa ujumla, aibu ninayoiona ni pale UKAWA watakapo onekana bungeni huku mwanamke wa shoka Tulia akiunguruma kama kawaida hii itakuwa ni aibu kubwa sana.
Ushauri CHADEMA rudisheni majembe mliyoyafukuza kwa kubadili gia angani la sivyo upinzani Tanzania bye bye.