Naulizia mwenye uzoefu na course tajwa hapo juu. Ningependa kujua kutoka kwa wazoefu wa degree program hii, admission wanasema wanaweza kusajili hata yule ambaye hakusoma engineering undergraduate degree ili mradi tu awe alisoma degree_applied science.
Kuna jamaa yangu alisoma SUA kilimo (Bsc) anataka kuomba, je anaweza kuwa admitted?
Je, kama akichaguliwa, masomo hayo anaweza kuyamudu? Naomba kutoka kwa wazoefu, especially programming.