cpb Senior Member Joined Nov 1, 2014 Posts 156 Reaction score 88 Jul 16, 2018 #1 habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani
habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani
cpb Senior Member Joined Nov 1, 2014 Posts 156 Reaction score 88 Jul 16, 2018 Thread starter #2 mmesusia ombi langu
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,344 Jul 16, 2018 #3 cpb said: habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani Click to expand... Kitu cha kwanza ungefanya ni kuingia kwenye website ya hicho chuo na kupakua prospectus yao na kuisoma kikamilifu. Halafu jazia na ushauri wa hapa JF.
cpb said: habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani Click to expand... Kitu cha kwanza ungefanya ni kuingia kwenye website ya hicho chuo na kupakua prospectus yao na kuisoma kikamilifu. Halafu jazia na ushauri wa hapa JF.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,886 Reaction score 13,949 Jul 17, 2018 #4 Mambo yote nenda mtandaoni ukimaliza jilipue