Kwa maoni yangu Huwezi watenganisha kwenye suala la mchango wao maana ukiondoa Nature na Jmo wasanii weng akina Prof,Fid q nao walianza kusotea MJ records na wengi pia single zao za mwanzo walirekord MJ .. tofaut yao ni kuwa enzi zile Majani alikuwa anawasaidia hadi kwenye promo na show anajumuika nao ila Mchaga Kimaryo alikuwa ana record tu hakuwa na wasanii anao wasimamia kama anavyofanya sasa..
Ila wote wanamchango kwenye huu mziki.
haya maswali tulibishana 2001-2005,,
wakat top ten karibu za fm station zote 1 mpka 8 alikua anakamata P funk. Wewe waturejesha huko leo 2014..!!?? Kakojoe ulale.
Mkuu hapa tunaa mwenye mchango mkubwa kwa ustawi wa bongo fleva hii mada hata ingekuja 2030 bado itakuwa sawa tuu
dhumuni la kuandaa ili uzi ni upi ? Kuna kipindi watu walikua wanajua jamaa wanabifu kumbe hamna ikifika jioni unawakuta YATCH CLUB MASAKI wakicheza, kiujumla Mj ni mkongwe ata P. Majani alianza kutengeneza mziki pale kwa Mj by then Majani alikuwa anasoma IST. Wote wanajua ila P is the geneus and talented.