Huenda mzungu amekataa kuwagawia salio la ushindi,kwani washiriki wengi wanachojali ni ujiko wa kufahamika,kila watakachoambiwa hukubali na hata wakiambiwa sikilza dogo katika mkwanja utakaopata sisi ndio tutauchukua na wewe tutakupa kifuta jasho na ole wako upayuke hutaenda mbali kwani sisi ndio ni Alfa na omega kwenye fani,kwa akina dogo wamatumbi watakubali na kuchekelea lakini si kwa mtashaKAMA KUNA SIKU NIMESHUHUDIA MADUDU YA WAANDAAJI WA BSS BASI NI JANA YAANI HAWAKUWA REALISTIC KABISA WALISHINDWA HATA KUDHIBITI NDIMI ZAO. TUMEZOA KUMUOANA MAADAM SALIMA AKICHEMKA KUPITA WOTE LAKINI JANA MUUH ALIYECHEMKA ZAIDI NI MR J, KWA KWELI JANA ALIONESHA UJINGA WAKE WOTE NA UKOSEFU MKUBWA WA ADABU NA UFAHAMU. MFANO, AKIWA KAMA JAJI TUYEDHANI ANGEKUWA NA UVUMILIVU KWA AUDIENCE YEYE ALISHINDWA KUVUMILIA MAPENZI YA MASHABIKI NA KUISHIA KUANZA KUWATUKANA ETI MASHABIKI WASHAMBA KISA TU WANAMKUBALI PYEN (MSHIRIKI MZUNGU). KWA KWELI NIMEMZARAU SANA MR J, HAWEZI KUAMINI NA KUSHIMU CHAGUO LA WENGINE KISA TU HAWakubaliani ni anachopenda yeye. NASHIWISHIKA KUAMINI KUWA HATA MATOKEO YALIPANGWA NA KAMA SI NGUVU YA MASHABIKI MZUNGU WA WATU ANGETOKA KAPA YAANI KAMA UCHAKACHUAJI WA CCM NA UMEYA ARUSHA
Ni bahati mbaya kama judges wanalewa katika shindano kama hilo la kitaifa.Nadhani kuna haja ya kuwa makini sana.Waziri Dkt.Nchimbi si alikuwepo pia?
Lizzy tutaangalia nini sasa? Ameerica got talents.....mwehNa mwakani watakua hao hao na bado mtaangalia!!
Ndugu, masta J ni msomi tu ni injinia kitaaluma usimuone kujitoa ufahamu pale.Binafsi jana nilienda kuscan my memory,nimemdelete yule kaka anayesuka nywele kama dada yangu. Cjui anaitwa joakim a.k.a mastre$s J. Anasema watz washamba wanamshangaa mzungu. Alirudia mara kbao mpaka nkazma Tv nkaenda zangu kulala. Uyu jamaa kukosa shule imekuwa vbaya,yan yule Payne si muhuni ni msomi anaetaka burudani. Ana masters degree lakin anapenda kuburudisha. Akiwakuna wabongo,uyo J anawatukana eti washamba. J&BSS upuuzi tu!
Lizzy tutaangalia nini sasa? Ameerica got talents.....mweh
Hiyo komenti imetolewa na salama na joachim over n over n over wakati wa mchakato, nadhani ndo kilichowatia watu wengi hasira na kuamua kumsapoti mzungu.BSS yenu inayowaita washamba!!
Hiyo komenti imetolewa na salama na joachim over n over n over wakati wa mchakato, nadhani ndo kilichowatia watu wengi hasira na kuamua kumsapoti mzungu.
Anyway sikufurahishwa na huo utovu wa heshima but again hata akisema hivo na mimi si mshamba ...ataajibeba yeye na 'ushamba' wake wa ku behave kama mtoto.
Sijui anaishi karne gani kwanza siku hizi wabongo hawashobokei wazungu.
Sasa kama walikua hawataki watu wamsapoti huyo mzungu walimwingiza kwenye mashindano ya nini??Hawanazo kweli...na kama wanazo wameshindwa kuzitumia!!!
Ni bahati mbaya kama judges wanalewa katika shindano kama hilo la kitaifa.Nadhani kuna haja ya kuwa makini sana.Waziri Dkt.Nchimbi si alikuwepo pia?