MASTER IN INFORMATION SECURITY

MASTER IN INFORMATION SECURITY

Wadau naomba kujua hii program kuna dogo anataka kusoma, ugumu wake ukoje ,lakini vipi soko lake?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Information security iko kwenye soko sana, lakini kwa ushauri wangu aachane na swala la kwenda kusoma Masters ya hiyo kitu kama anahitaji ushindani wa soko la ajira.

Afanye Professional Certification za Computer security kama CEH, CompTIA Security+, CISA, ISACA.
 
Nimeona hii kitu ya Masters in Information Security ipo IAA ni Program ya Mwaka 1, hii certification anaweza soma kutoka chuo gani?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom