Massawe, Mr low price

Massawe, Mr low price

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
FAMTOM Z MINE 400000
FAMTOM YENYEWE 600000
H6 TECNO 179900
TL7 350000
TJ7 250000
Y530 185000
Y330 140000
TH3 125000
TM3 125000
TM6 240000
TL6 250000
VIWA ZOTE ZIPO
POWER BANK 50 adi 80elfu
MEMORY 32GB 25000
8GB 15000
4GB 8000
2GB 6000
32GB
Pia Nina visimu vidogo vyenye memori kwa elfu 20000 tuu
WAJAMANI DUKA LIPO KOROGWE TANGA NAWEZA KUKU2MIA POPOTE, KARIBUNI SANA
0719796574
 
Attachments

  • 1431195001129.jpg
    1431195001129.jpg
    85.7 KB · Views: 592
Lipia tangazo pia kama wewe ni mfanyabiashara kweli
 
kama nakujua vile eti ulishawahi kuwa mwl wa elim maalum eh
 
Hivi watu mkoje? Sasa Mara mwalimu Wa elimu maalumu , Mara n ya dada, Mara simu feki, jamani acheni kubeza biashara za wenzenu, nimeletaa uu Uzi apa kununuzwa , wangeleta Voda au tigo wote mngekuwa kimya , yani nyie nawaona kama wasauth Africa wanavyowaua wenzao weusi , tupendanage na kuthaminiana , kama hutaki pita
 
Tecno boom , j7 250000 tuu
 
Attachments

  • 1431457032723.jpg
    1431457032723.jpg
    53 KB · Views: 269
Samsung Galax j1 250000 tuu hii inaweza kupiga picha yenyewe , mkishajipanga unainyooshia mkono inapiga picha yenyewe
 
Attachments

  • 1431457271207.jpg
    1431457271207.jpg
    18.1 KB · Views: 257
Hivi watu mkoje? Sasa Mara mwalimu Wa elimu maalumu , Mara n ya dada, Mara simu feki, jamani acheni kubeza biashara za wenzenu, nimeletaa uu Uzi apa kununuzwa , wangeleta Voda au tigo wote mngekuwa kimya , yani nyie nawaona kama wasauth Africa wanavyowaua wenzao weusi , tupendanage na kuthaminiana , kama hutaki pita

Katika jamii watu kama hao hawakosekani, kwahiyo chukulia tu kawaida jambo hilo.
Uwe na biashara njema.
 
Daah ahsante sana ndugu, inasikitisha sana , mi natafuta maziwa ya mwanangu , wao wanaleta utani , OK ndugu unayenifahamu , nilikuwa ndio mwalimu , nilimaliza Sebastian kolowa university collage , sikuajiriwa baada ya kumaliza , niliamua kujiajiri paseeee, hay a mpaka apo ushahakikisha ni mimi ninunuze au fikisha ujumbe huu kwa ndugu jamaa na marafiki
 
Nitumie h 6 na namba ya huyo dada muuzaji

teh!teh!teh!teh!,kweli muuzaji yupo vizuri wasiwasi wangu aweza kuwa ni shemeji tayari,au muulize masawe mwenyewe,halafu km ni shida ya kibiashara si um-pm masawe mwenyewe.
 
Hivi watu mkoje? Sasa Mara mwalimu Wa elimu maalumu , Mara n ya dada, Mara simu feki, jamani acheni kubeza biashara za wenzenu, nimeletaa uu Uzi apa kununuzwa , wangeleta Voda au tigo wote mngekuwa kimya , yani nyie nawaona kama wasauth Africa wanavyowaua wenzao weusi , tupendanage na kuthaminiana , kama hutaki pita

Kweli bhana shida ya wabongo wivu,ndiyo maana hatusongi mbele.
 
Daah ahsante sana ndugu, inasikitisha sana , mi natafuta maziwa ya mwanangu , wao wanaleta utani , OK ndugu unayenifahamu , nilikuwa ndio mwalimu , nilimaliza Sebastian kolowa university collage , sikuajiriwa baada ya kumaliza , niliamua kujiajiri paseeee, hay a mpaka apo ushahakikisha ni mimi ninunuze au fikisha ujumbe huu kwa ndugu jamaa na marafiki

Duh! Ee bhana wewe ni mfano wa kuigwa na vijana wengi ambao wakishahitimu masomo hurandaranda barabarani wakisaka ajira,safi sana kaka wewe ni kichwa big up sana,napenda sana watu km ninyi.o
 
Samsung Galax j1 250000 tuu hii inaweza kupiga picha yenyewe , mkishajipanga unainyooshia mkono inapiga picha yenyewe

Hutu tu simu Ni twakijinga Hutu tubovu bovu ram Yake Ni MDOGO sana.hatufaihatufai hata kdg
 
Simu gani ram ndogo ndugu?

Soni sina ndugu yangu
 
Back
Top Bottom