Massawe Ameamua kulipa bill ila ya total hamlipiiiiii

Massawe Ameamua kulipa bill ila ya total hamlipiiiiii

ras mkweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
280
Reaction score
105
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Kinabo 10,000
TOTAL 110,000/=
MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Uwiii simlipii.Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe...
Neno moja kwa Massawe kama umeipenda share na marafiki zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom