mi nilikua naulizia hiyo massage ilipo
hiyo miriam massage mpaka asa hv ipo1.Miriam-Iko maeneo ya Victoria nyuma ya knight support
2.The Touch Spa - at Touch Lane - Masaki - Philipinos
3.Radiant Health - at Touch Lane - Masaki - Adv. Mkono's residence
4.Thai Massage - just b4 Village Supermarket Masaki
5.Arena Spa....
6.etc
naulizia massage sio demuHuyo demu atakua amekudanganya, hafanyi kazi apo.
hiyo miriam massage mpaka asa hv ipo
sehemu nyingine jeNdo uende ukachek
sehemu nyingine je
okay poamkuu hizo nilizokutajia hazitoshiiiii
wanapatikana vipi hao? weka namba zao hapa basi wadau wapate huduma bila adha ya kuwafuata walipo!!!siku hizi kuna mobile massage centres,wanakufuata ulipo mnatafta hotel au guest wanapiga kazi unawalipa wanaondoka....kazi ni kwako
mlizomtajia zote bei mbaya. hakuna za ilala au magomeni?
mlizomtajia zote bei mbaya. hakuna za ilala au magomeni?
wanapatikana vipi hao? weka namba zao hapa basi wadau wapate huduma bila adha ya kuwafuata walipo!!!
kaka si unajua kuweka namba hapa ni kesi,ngoja nitakuletea location very soon