massage ya body to body

massage ya body to body

JF2012

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Wadau nasikia kuna massage ya body to body nijuzeni ipoje? na huwa ni watu gani wanaotakiwa kuifanya hiyo
 
Huyu kabalehe juzi. Anyway, kuna thread nyingi sana humu JF zinaelezea hayo na maeneo yanayotoa huduma hiyo. Hufanyiwa mume au mke walio katika ndoa na hufanyiana wenyewe wanandoa.
 
mara nyingi huduma hiyo sie huwaga 2naipata chumbani kwe2
 
Huyu kabalehe juzi. Anyway, kuna thread nyingi sana humu JF zinaelezea hayo na maeneo yanayotoa huduma hiyo. Hufanyiwa mume au mke walio katika ndoa na hufanyiana wenyewe wanandoa.
hapa si suala la kubalehe juzi bana mimi mwenyewe nimebarehe miaka 20 iliyopita ila hiki kitu sikijui! niambie kwa kiingeleza kinaitwaje nikiseach hapa!
 
Search massage salon in dar, itakuletea link.
 
Back
Top Bottom