Mkuu Doam!Kati ya hizo mbili ulizopita ipi Ian wadada wazuri, zinaitwaje na bei zikoje. Hebu toa mrejesho watu wachangamkie fursa getrusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.
Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.
Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.
Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.
Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.
Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya
Khy na nyie mlimla huyo mdadaHizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.
Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.
Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.
Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.
Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.
Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya
🤣🤣huwezijua mkuu....labda yeye huwa anavaa condom kwenye macho!!
Hiyo kukanda kanda ni Taaluma, Ujuzi na Vipaji vya watu Mkuu. Sio kila mtu anaweza hivyo.Mtu MWENYE ndoa au mwenza Kwanini usikandwe kandwe nyumbani kwako?
Enyi wanaume wa Dar inawahusu Hili.
Wewe ni Mchaga ndio maana huwezi kulipia vitu kama hivyo. Acha Wangoni sie tujiburudishe.Utakuwa umenielewa vibaya Mkuu
Sipingi na wala sioni ni kitu kibaya kukandwa kandwa ,Mimi binafsi ziwezi kwenda hizo sehemu, Mke wangu atanifanya hivo ,,
Maisha ni mtu apendavo
nenda mitaa ya msasani mkuuMnaishia kulalamika tu bila kuelekeza vizuri ziko wapi ili na wengine tufanye utafiti
Sent using Jamii Forums mobile app
labda nikupe number ya dada mmoja yuko ofis za maji anatoa sana tigo mweupe hv mdogo mdogoAnayefahamu kwa Arusha hii huduma inapopatikana anielekeze
Hizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.
Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.
Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.
Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.
Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.
Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya
Massage kwa kiswahili Ni kusingakusinga ni nini sijaelewa
Sent from my iPhone using JamiiForums