Massage parlour ni vituo vya ngono

Watu tumetofautiana sana aise, , nilipie kukandwa kandwa
 
Kukandwa nje ya nyumbani kuna utamu fulani nyumbani huwezi kuupata. Ni sawa na kunywa pombe bar yenye barmaid wengi na kunywa pombe nyumbani. Ya nyumbani hainogi.
Cc. Mshana Jr
Cc. Faizafoxy
Nyumbani jitu limenenepeana na uhakika wa ndoa za kanisani litakukanda saa ngapi? Ukiomba show jitu linajivuta kama vile lipo usingizini, saa ya show ndo utakoma hatikisiki hata "kipochi" hakijasafishwa
 
Hapo ishu ni ndogo tuu, ukijua kuwa una mpango wa kwenda kukandwakandwa c unaacha ukuni nyumbani, maana ukienda nao ni lazima utautumia tuu, tena bila kuvalishwa mzula, ni balaa sana, mara kuhara, kukohoa, homa za mara kwa mara, gongowazi inachanganyika na vyura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo yako tu haya, wallah mkuu uligonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaendaje kupiga mechi Kwa kutegemea njumu za klabu!!? Kama zimetoboka je!? Beba zako!!! Kama uwezi karibu chaputa.
😂😂👌
 
Hujui raha wewe. Hiyo hela unayosevu utakufa watakaoirithi wataenda kukandwa

Utakuwa umenielewa vibaya Mkuu

Sipingi na wala sioni ni kitu kibaya kukandwa kandwa ,Mimi binafsi ziwezi kwenda hizo sehemu, Mke wangu atanifanya hivo ,,

Maisha ni mtu apendavo
 
Ulipowatazama wakafanyaje ukagundua ni SW? Pia kwa macho tu ukagundua condom kwao si kipaumbele.... hahaha mdau haya tumekuelewa
huwezijua mkuu....labda yeye huwa anavaa condom kwenye macho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…