zipo nyingi kinondoni na sinza, kwa hiyo si dar yote
maeneo ya ubungo kimara mpaka mbezi hakuna, buguruni, temeke na tandika sijawahi kuona, mwenge mpaka tegeta ni za kubahatisha, keko, mbagala, hupati, kariakoo utazunguka saana ila zipo, posta pia unapata ila si kwa waswahili, kigamboni hakuna kabisa. Dar imeisha hapo.