Masoud hapa sijampata vizuri

Ukitaka usitafutwe JF na ndoano hiyo usipanue mdomo wako
 
chunga mdomo wako usije ukategwa na maneno yako mwenyewe...huyu jamaa creative sana big up
 
hahaa! hapa samaki mkubwa(mama) kaona ndoano anaikimbilia imnase na samaki mdogo(mtoto) anamuomba anunue nasafi ya kuvuliwa.

Maana yake: hapo walipo kwenye makazi yao ya kila siku hali ni ngumu labda kuna njaa au hali ya usalama sio nzuri(vitisho) kwa hiyo kila mmoja anataka nafasi ya kukimbia mahali hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…