super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 540
LEO NIMEAMUA KUTOA YA MOYONI KWA NITAKAOWAUDHI NA KUWAKERA TUSAMEHEANE SABABU HAKUNA ALIEMKAMIRIFU
kumekua na swala linalozungumzwa sana na watu walio wasomi na wasio wasomi kuhusu masomo ya science na ya sanaa,
kwangu mimi kutokana na uelewa wangu mdogo wa kidato cha nne nilipoishia ni kua:
A:hakuna masomo ambayo ni muhimu kuliko mengine hili swala nalipinga kwa asilimia 100 twende kwenye mifano:marekani na urusi ni mataifa makubwa kiuchumi na yote yanategemea sana wataalamu wa uchumi na sanaa kwenye maendeleo sababu kuu ni kua watu wa uchumi ndio hutoa ushauri kuhusu mambo hayo na wasanaa ni watunga sera wazuri na wanaweza simamia mambo vizuri ingawa ata wa science anaweza tukija upande wa science wao nao ni muhimu sababu huwezi kuendelea kama una afya mbovu kama huna teknolojia na mpaka hapa inaonesha jinsi gani tunavotegemeana HOJA INAWEZA KUA HAINA MASHIKO NA UTETEZI WAKE ILA MUHIMU KUJUA DOCTOR alisaidiwa na mwalimu wa kingereza kujua lugha aanayotumia hospitali,DOCTOR anasaidiwa na mwanasheria pale haki zake zinavoenda ovyo na dokta anaboreshewa mazingira kupitia watunga sera wazuri wa sanaa TUKUBALI TU KUA INGAWA KWA UPANDE FLANI MASOMO YA SAYANSI YANAONEKANA MUHIMU KULIKO YA ARTS LAKINI KIUHALISIA KILA KITU KINAMTEGEMEA MWENZAKE APO NIMEWEKA MIFANO YA DOKTA MENGI KAMA MFANO watu wa science wamekua wakijinasibu kua wao ndo wao wanasahau kua mungu ndie apangae unapiga kelele mwalimu wa science kua wewe mjanja alafu una vipindi 20 kwa wiki wa arts ana vipindi 4 kwa wiki alafu wote mshahara ni mmoja na ukiwa zamu unamuomba huyo huyo akusaidie zamu.
WATANZANIA WENZANGU TUPENDANE EBU TUISHI KWA UPENDO TUSIDHARAULIANE KILA MTU ANA UMUHIMU KWA NAFASI YAKE
Mwingine anasema walosoma arts hawana akili vizuri yani uwezo wa kufikiri shule hakuna maabara hakuna walimu mtu asome science na anajua kutoka ni ngumu?ata kama ni rahisi mtu anachagua masomo anayoyaweza kuna mtu wa science rafiki angu ukimpa history ata D hafikishi ukimpa kiswahili mambo ya vishazi ndo kabisa ila leta hesabu anakokotoa anapiga A mtu wa arts nae unampa formula sijui gravitational force 9.8 sijui nini uko charlses law na yeye kazoea vishazi huru hakuelewi kabisa .
TUPENDANE TUSIDHARAURIANE KILA MTU NA KILA KAZI INA UMUHIMU KUTOKANA NA NAFASI YAKE ILIPO MUNGU AWABARIKI MUNGU IBARIKI TANZANIA NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA KWENYE MAMBO YENU