Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Habari wanajamvi wote!
Kama jinsi kichwa cha habari kinavyotanabahisha, kuna kaka yangu mmoja anakusudia kuendelea na masomo yake kwa ngazi ya PhD katika mambo ya uchumi (economics). Hivyo kwa mtu yoyote mwenye kufahamu vyuo vizuri na vyenye gharama kiasi cha kumdu kujilipia, basi anaombwa asaidie kuorodhesha vyuo hivyo hasa kwa nchi za CANADA na SOUTH AFRICA