za wakati huu wadau,nimemaliza bachelor degree na ningependa kuendelea na masomo ya masters marekani naomba kama kuna mtu ana fahamu minimum GPA inayo hitajika kwa sisi wabongo ili kusoma masters marekani anijuze. pia ni jinsi gani GPA za tz hubadilishwa kupata gpa za marekani?