Masoko ya mazao haya

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
112
Reaction score
15
Nina heka zaidi ya 1700 ambazo ninaweza panda mazao haya, maharage,mahindi, ufuta,alizeti,soya,tumbaku,ulezi etc. Mwaka huu nimepanda heka 120 za maharage ambayo yana mteja tayari na tume saini mkataba wa ununuzi wa hayo maharage . Naweza kulima heka zote kama nitapata soko mapema
 

mkuu ni PM contact zako nahitaji kuongea nawe.
 
Hongera sana si mchezo
 
Nime kupm my contact
 
Mbeya, wilaya ya momba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…