Maskini wanaume

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
Zamani zile wanaume walikuwa wanawanyanyasa sana wake zao ila pia walikuwa wanawapenda sana kuliko manyanyaso yaani walikuwa wanawaheshimu akisaliti ni kwa siri sana.

Sijui siku hizi vipi wanaume hawawajali kabisa wake zao yaani hawana time nao hawana time na watoto hawana time na kazi yaani ni ubishoo tu facebook, whatsap, twitter nk, muda wa kukaa na wake zao hawana tena afadhali wanaume wa shamba ila sisi hapa mjini ni zaidi ya matatizo, ukiongeza na haya mamitandao ya kijamii inakuwa ni baaaaar la.

Hebu tubadilike jamani tunawatesa hawa watu afikirie mitoto yako, wazazi wako, wazazi wake, na wee pia atapata wapi muda wa kujitathimini yeye mwenyewe si atazeeka kabla ya mda wake na wewe utamkimbia utasema kashazeeka huyu.

Tuyaache hayo by the way ni upumbavu!
 
UWOGA=UMASKINI

Mmmh
U have apoint but nadhan umeshindwa kupata njia sahihi ya kuifikisha kwa hadhira sisi(no.offence)
 
Last edited by a moderator:
Women are the most complicated creatures
 

Attachments

  • 1416947181749.jpg
    33.9 KB · Views: 150
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…